Deus F Mallya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 705
- 441
ili upate maswali introduce ur self,na unadeal na vitu gani.nawapongeza admins na wana jf wote mnaoendeeza harakati kwa upande huu.. Najua yamesemwa mengi sana humu kunihusu mimi. Nipo hapa nakaribisha maswali (kama yapo).. Kejeli sintajibu manake najua hazikosekani.
[/b]
ahsanteni sana
deus mallya
dar es salaam
ili upate maswali introduce ur self,na unadeal na vitu gani.
Hebu tufafanulie ni nani huyo? Hata mimi japo jina si geni lakini simkumbuki.Inaelekea habari za TZ zinakupita mbali sana. wewe ni Mtz kweli!