EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #61
Naona umetoa povu konki
We mkuu bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa unataka tuagize maharage wakati nyumbani tumeyaacha.?
Sasa unataka tuagize maharage wakati nyumbani tumeyaacha.?
Kama hutaki niagize kuku nikaribishe gheto tupike dona na dagaa.Kabla hujaagiza fikiria je bei ya chakula nilichoagiza muhusika anaweza kulipa, kama hajakuruhusu usiagize.. msije mkaosha vyombo bure
[emoji23][emoji23] vipi mama[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]dah
Kama hutaki niagize kuku nikaribishe gheto tupike dona na dagaa.
Uwiiiiiiiiiiii[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nawasalimia wale wavulana hata wakiombwa buku wana Sreenshort au kukimbilia kuanzisha mada nawakumbusha hatuachi kuomba mtaanzisha mada mikono iote sugu.
[emoji12][emoji57][emoji57]
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawasalimu wakaka wote ambao mtandaoni wako single ila mtaani wana wake wanne. Wake zenu ni mashoga zetu
[emoji23][emoji23][emoji23] mwenza unacheka nini kwa mfano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimezifurahia salamu zako mwenza.[emoji23][emoji23][emoji23] mwenza unacheka nini kwa mfano
Sawa wafikishie na huko mtaani kwakoNimezifurahia salamu zako mwenza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natuma salamu kwa wavulana na wanaume wote wanaotongoza kwa meseji,
ujumbe; acheni udomo zege, omba namba kisha weka appointment kwenye 5stars hotel.
Hata wanaelewa sasa!! Huwa natamani niwachape viboko.Sawa wafikishie na huko mtaani kwako