Kwa miye binafsi mzima wa afya kaka..Salamu sana wapendwa amani ya BWANA iwe kwenu, mi mzima wa afya ya roho na mwili hofu yangu ni juu yenu vipi hamjambo? nimepita niwajulie hali na kuwatakia kila la heri 2018 Watu8 tpaul miss chagga Luv mshana jr kabanga Evelyn Salt kahtaan Nyani Ngabu GENTAMYCINE PakaJimmy ........... Maxence Melo ... na wengine wote inshallah panapo majaliwa. lightsdown
Japo nimechelewa kwa miaka miwili kujibu salamu zako natumai bado uko hai kupokea zangu.Salamu sana wapendwa amani ya BWANA iwe kwenu, mi mzima wa afya ya roho na mwili hofu yangu ni juu yenu vipi hamjambo? nimepita niwajulie hali na kuwatakia kila la heri 2018 Watu8 tpaul miss chagga Luv mshana jr kabanga Evelyn Salt kahtaan Nyani Ngabu GENTAMYCINE PakaJimmy ........... Maxence Melo ... na wengine wote inshallah panapo majaliwa. lightsdown