Nawasemea, mama kuna watu vyandarua vya msaada wanafugia kuku

Nawasemea, mama kuna watu vyandarua vya msaada wanafugia kuku

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kuna mtu aliwahi kupost uzi kuwa mwafrika hatakiwi kupewa bima ya afya ya bure na serikali kwa sababu ya ujinga wake

Mwafrika ni wajinga,watakunywa maji machafu,watafanya ngono zembe na watu zaidi ya 400,watalala bila chandarua serikali kuwapa bima watu kama hawa lazima ifirisike tu.

Kuna vyandarua vya msaada vilitolewa kila kaya miezi miwili iliyopita,hivyo vyandarua kuna wamba wanafugia kuku na wanalala bila chandarua wakiumwa malaria watanlaumu nani.

Serikali haitaki mfe maana inataka kuwakomua kodi zenu
 
Hiyo gharama ya kutengenezea na kusambaza vyandarua kwanini wasingeitumia kutokomeza hao Mbu.?
 
Hiyo gharama ya kutengenezea na kusambaza vyandarua kwanini wasingeitumia kutokomeza hao Mbu.?
Mbu nao wanahitaji kuishi,kiumbe cha Mungu kwa nini ukiue,unajua ecosystem
 
Back
Top Bottom