Nawashangaa kina Kanumba

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Nipo nyumbani naangalia sinema ya Sarafina, iliyopigwa picha na kuchezwa South Africa miaka ya mwishoni ya 80.
Haichoshi kuangalia, ni nzuri mpaka imepitiliza.
Kanumba na wenzake wana safari ndefu ya kwenda, nawashangaa wenyewe wanapojiona kuwa wamefika kwenye peak.
 


kwanini aujaenda kazin?
nataka maelezo page 4.
 
Thriller ilichezwa long time ago, lakini leo wabongo na haya maendeleo ya teknolojia tukiambiwa tuirudie kitakacho tokea kitakuwa ni kiroja
 
kazini naingia usiku, si unajua nina kibanda changu cha kuuza kondom pale kona baa
Umeambiwa page 4 matokeo yake umetoa msiri mmoja tu kama bajeti ya kenya wakati wewe ni mtanzania hata bajeti yako ni vitabu vinne...
 
Hv kanumba nae muigizaji? sio kitu pale wanaganga njaa tu.
Kwa hiyo tanzania hatuna waigizaji acha kudharau kazi za wenzako...Akina kanumba wametuo koa sana tulikuwa tumekalia kuana angalia senema za kenya na nchi za zinge lakini leo angalau tuna weza kujivunia....
 
Hawa waigizaji wetu wameridhika na michezo ya kuigiza wanayotoa kila baada ya wiki mbili!
 
nikitaka kupata depression na head ache huwa natazama hizi muvi.
wanaongea utadhani wanasoma mahali.
subtitles ndio huwa wananimaliza kabisa.
 
Kibongo bongo poa wanatusaidia sie ambao hatujaenda ingilishi kozi maana picha za kinaigeria ilikuwa vumbi tupu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…