[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Unakumbuka Siku Yangu Inafungwa Na Ihefu Waliaandaa Sherehe Ya Unbeaten
Balaa Likawakuta Wakadundwa Keki Ikawa Chungu Sana Sana
Jana GSM Alijiandaa Kufutulisha Bhalaa Tena Wakapigwa Chap Chap Kama Ngoma
Simba wanashangilia hata wakimpiga IHEFU sembuse yanga? Mbona yanga walifurahi kwa kumpiga zalanWasalaam!!!
Inawezekaneje:
1.Kumpiga mait harafu ujitape kuwa wew Ni shujaa???
2.Kumpiga mtoto wa chekechea harafu ujidai kuwa wew Ni mwamba??
3.Kumpiga na bunduki mtu Mwenye gobole harafu ujitape kuwa wew Ni shujaa???
•Ndugu Wana Simba Yanga sio level yenu.
•Level yenu Ni akina Raja,Wydad hao mkiwafunga ndo mshangilie
•Rank za CAF zinaonesha kuwa Simba ni moja ya timu bora Sana barani Africa,lakin Yanga hata hawaifaham. Ukweli ndo huo
Nawasilisha
hiyo ni durby brother... hainaga levelWasalaam!!!