erasto Samwel
Member
- Sep 10, 2024
- 78
- 91
Leo nimepita Mahali fulani nikasikia Gari la matangazo la jeshi la polisi likihamasisha wananchi kujitokeza uwanjani kushiriki michezo na kukaa pamoja kufichua uharifu na mambo mengine.
Nacho shangaa juzi tu polisi waliwatisha wananchi wasiandamane kupeleka kilio chao cha masahibu ya kutekwa, kuumizwa, kuuwwa, iweje leo kutaka urafiki huu wa kushirikiana na wananchi na polisi kuwatambua waharifu?
Nikikumbuka walivyokuwa Barabarani siku ile utafikiri raia ni maadui na waharifu!
Pia soma: Polisi arekodiwa akiwaamrisha wananchi watawanyike la sivyo wanaweza kufa wakati wa maandamano ya CHADEMA