PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,288
- 17,333
Ni hivi wakati wa kampeni mliowengi kama 95% mlichagua upande wa kisiasa na mkatoa maneno ya kubeza kwa wapinZani mkasema chama chenu kina watu wengi na kina nguvu wapinzan n wachache
sasa leo mnalalika hakuna show hata streaming kwenye hizo platforms zenu kama.youtube watu n wachache sasa kama hao mliowapigia kampeni n wengi mbona hawawasapoti kipindi hiki kigumu kwenye show au huko kwenye youtube mpate viewers wengi
jibu n ndogo tu wanaowasapoti ninyi ndio wale mliokuwa mnawabeza kwenye majukwaa ya kisiasa na mliokuwa mnawasapoti sio wateja wenu
Leo wanasiasa wamefanikiwa lakini nyie waaanii mmebaki yatima hajulikani msemaji wenu mara MAJIZO mara mzee rambirambi za misiba
NATUMAINI HILI LITAKUWA FUNZO KWENU
ila ukweli! Yaani inatakiwa tuwachunie kabisa!Mbona mnawaongelea Sana kila wakati Ina maanisha mnawapenda MTU Kama haumpendi mu ignore inatosha
Kila wakati mnaleta Uzi sasa huu unakuwa Kama mchezo .
Kukaa kujadili wasanii
ila ukweli! Yaani inatakiwa tuwachunie kabisa!
Ndio ilipaswa ifanyike namna hiyo yaani wauchune kbsa waache wasanii wapige mayowe mpaka wakae kimya wenyewe . Hii ya kuendelea kuwaongelea na kukomenti kwenye page zao inaonekana kbsa bado hatuja move onWatu hawajui njia ya kumu ignore MTU ndo njia namba 1
Ile kuandika matusi kwenye PAGE ya mond Mimi naona Kama ujinga mwingine
Na hii inaonesha watanzania ni wajinga ni vile hawajapata nafasi ya kuwa wasanii
πππNdio ilipaswa ifanyike namna hiyo yaani wauchune kbsa waache wasanii wapige mayowe mpaka wakae kimya wenyewe . Hii ya kuendelea kuwaongelea na kukomenti kwenye page zao inaonekana kbsa bado hatuja move on