ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ukisikiliza kelele na malalamiko ya Wafanyabiashara wa route za Dar-Moro-Dom-Singida Wanavyoilaani Sgr na kulaumu Serikali unapata picha jinsi watanzania hatuna ubunifu Wala aggressiveness kwenye biashara.
Yaani route hiyo Moja tuu Kilio kana kwamba ni Nchi yote Ina Sgr,Sasa ikifika Mwanza,Kigoma na Mpanda watafanyaje?
Ninachowashangaa zaidi ni kwamba saizi kiangazi abira wanaosafiri ni wengi sana huko Mikoani lakini wao badala ya watafute routes Mpya wamekomaa na hapo Dar.
Mfano routes zifuatazo Zina kampuni chache na Abiria wanajazana na kushonana Kila siku kama magunia Kwa sababu za uchache wa magari..
Ngoja thwasaidie kuwatajia routes ambazo mnaweza kuhamishia biashara zenu maana nyie hamjui kuchungulia fursa Nje ya maeneo mliyozoea.Nitajikita Nyanda za Juu Kusini
-Mbeya-Mpanda via Sumbawanga
-Mbeya-MbambaBay via Songea and Njombe
-Sumbawanga-Mbeya
-Sumbawanga-Mwanza via Mpanda
-Sumbawanga-Dar
-Sumbawanga-Iringa
-Sumbawanga-Dom via Majimoto
-Tunduma-Mwanza via Mpanda
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1821157289354486138?t=t9ZqvJJSM_qRrlnygiWOZg&s=19
My Take
Routes za Kupeleka Mabasi ni nyingi sana kiangazi ,masika unapaki au unapunguza Mabasi.
Kinachotakiwa ni kuishinikiza Serikali ijenge Barabara nyingi kufungua Nchi Ili Sgr ikipoga mnahamia kwingine.
Mwisho,Wadau ongezeni Routes zingine Ili hao wanaolalamika Wapeleke Mabasi Yao huko kabla hawajahujumu SGR.

- Tunduma-Dodoma via Mbeya
- Mbeya-Tunduru via Songea
- Mbeya-Masasi via Njombe