Nawashauri muige lifestyle ya wamasai, mtadumu muda mrefu

Status
Not open for further replies.
Huwezi kukuta mmasai ana ukimwi wala anajiuza kulingana na mila zao. Wamasai ni wastarabu sana na ukipata mke wa kimasai umepata kweli.

Lazima utamkuta ni bikra na kama ni mwanaume lazima hana mchepuko kabisa.
Unongelea masai wa miaka ipi mkuu, maana hawa wa sasa hadi samaki wanakula na pombe wanapona pia
 
Huwezi kukuta mmasai ana ukimwi wala anajiuza kulingana na mila zao. Wamasai ni wastarabu sana na ukipata mke wa kimasai umepata kweli.

Lazima utamkuta ni bikra na kama ni mwanaume lazima hana mchepuko kabisa.

Unaumwa wewe! Hawa wa Maasai wanasema kula mara moja ukila viwili Baba yoyo atajua!!!!!!
 
Huwezi kukuta mmasai ana ukimwi wala anajiuza kulingana na mila zao. Wamasai ni wastarabu sana na ukipata mke wa kimasai umepata kweli.

Lazima utamkuta ni bikra na kama ni mwanaume lazima hana mchepuko kabisa.
Ndio ila wanawake wengi ,ni kweli hatujiuzi ila ukikaa vibaya tunavuta mali baba ake hatujirisk na vifuta jasho ukiona mmasai kajiriski ni unahela za kutosha ila shida ndogo ndogk nope hatunaga maana tuna ng'ombe mashamba na mengineyo. So hatujirisk kwa mtu anayenunua chakula
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom