Nawashauri Polisi endapo TID akija Polisi kuleta sijui malalamiko ya nini, awe kama kawarahisishia kazi ya kumkamata maana alidanganya kuwa kaacha matumizi ya dawa za kulevya wakati kwa sasa ndio kakithiri kabisa
nawasilisha najua mtalifanyia kazi
nawasilisha najua mtalifanyia kazi