Nikiwa kama mmoja wa wahitimu wa Chuo naomba kuwasilisha kuwa kwa observation yangu miaka minne tangu nipate elimu
Kwa Sasa Bila ujuzi wa kazi za mikono vijana lazima tutapata depression sana
Nashauri vijana msijifanye kushupaza shingo na angalau msiwe na mihemko ya kuwahi kwenda chuo kwa elimu ya makaratasi ilhali mnajua kabsa hamna ujuzi wowote wa mikono
Wazazi pia msilete uzamani wa kwamba mtoto lazima afike Chuo kwanza hoja ya msingi ni kuwa mtu anapotoka VETA anaijua kazi na pia anaweza kujitegemea mwenyewe mashahidi ni nyie wenyewe huko mitaani kwenu. Kinachokuja kumtofautisha mwanachuo na VETA students ni uwezo wa kufanya maamuzi na kupangilia kwa mwanachuo ni mkubwa kuliko VETA leaving students
Nawasilisha kazi za mikono kama ifuatavyo:- ( Ruksa kuchallenge)
1. kuna Ufundi magari
_ Wiring ya magari
2. Ufundi wa ELectronics devices
3. Ufundi rangi wa nyumba(painting)
4. Ufundi ujenzi kwa ujumla (especially specialize kwenye gypsum na vigae, na kuna kudesign alluminium milango na madirisha)
5. Udereva
6. Upishi, bakery na upambaji (kwa wadada) (na kuhakikisha kijana hautashinda njaa wala kuzunguka na bahasha kama sisi)
Naomba kuwasilisha wengine wanaojua kazi za mikono ongezeni hapo! Ila hizo kazi haZiihitaji lemama ni shooshoo😆

- Ufundi wa engine
- Ufundi wa mitungi ya gesi kwenye magari na bajaji
- General car mechanics