Nawashauri viongozi wangu wa Simba, makocha wa kizungu wengi wababaishaji

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Timu yangu pendwa ya Simba S.C iko kwenye mipango ya kuajiri kocha mwingine baada ya kumtimu Pablo Franco ambaye tangu awali sisi tunaojua soka tulijua hatofua dafu, mazingira ya mpira wetu wa kiafrika ni magumu na yana mambo mengi nje ya uwanja, kuna wakati kocha unaweza kulazimishwa mchezaji flan ambaye kwako unamuona kabisa ni sehemu ya mchezo na anaweza kukupa matokeo lkn wataalamu wa nje ya uwanja wakashauri kuwa huyo anayetakiwa na kocha akicheza timu haiwezi kupata ushindi, we kocha hata upambane vipi au hata uwe na uwezo gani wa kufundisha huwezi shinda mechi hizo, hata huyo Nabi anayesifiwa ni kocha mzuri hana uwezo kiviile, isipokuwa mambo tu ya nje ya uwanja ni mengi sana, makocha wanaofundisha Simba na yanga wana uwezo wa kawaida sana, ila kamati za ufundi ndio zinawabeba, Natoa ushauri kwa timu yangu niliyoanza kuipenda tangu enzi za akina Mosses Mkandawile, chonde CHONDE, makocha wa kizungu CV kubwa lkn uwezo kisoda, tuwe makini sana kwenye kuajiri kocha otherwise tunakwenda kuiua timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…