Apollo one spaceship
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 245
- 457
Kupata six pack za mapenziMbona huwa tunawaona wanakesha gym?
Ndo nn izoShidah ni chip's za sele bonge
Lakini bado sana ukilinganisha na michezaji ya nje,we ngoja tuon kweny game na BeninIdd nado,ambundo,moloko,sakho,banda, labda hawa ila kwa feisal na kapombe umedanganya labda kama hufuatilii kuna wachezaji wamebadilika kama job,mwamnyeto hata zimbwe ana nguvu za kutosha now
Mtu anaweza kupita katkat ya wachezaji wetu.Kweli nimeona mechi ya Congo na Taifa stars waliyotoka moja moja wachezaji wetu wepesi sana.
kama uliiona mechi Ya ngao ya jamii utakua uliona performance ya fei na zimbweLakini bado sana ukilinganisha na michezaji ya nje,we ngoja tuon kweny game na Benin
Ila likibu Denisi lingekuwa na football brain, lingekuwa hatari sana, lina mwili wa kazi, tatizo ni Nchimbi type!Kina Feisal, Zimbwe, Kapombe huwa wanapigwa push moja tu chini hivyo inakuwa rahisi kupitika.
Afadhali ya Samatta ana body stability kali.
Tujifunze kwa kina Mugalu, Aucho, Bangala, wapo stable sana hivyo huwanyang'anyi mpira kirahisi
Mtu Kama Sadio Kanoute ana mwili wa kawaida lakini yupo stable sana sio rahisi kumnyang'anya mpira.
Kina mzamiru ni push moja tu chini. Wekezeni kwenye stability mkiwa na mpira Kama kina Sakho au kina Aucho.
Yupo overrated tu,akitaka kuchenga anadhibitiwa.Ila likibu Denisi lingekuwa na football brain, lingekuwa hatari sana, lina mwili wa kazi, tatizo ni Nchimbi type!
Aanze kufatilia sio kukurupukaIdd nado,ambundo,moloko,sakho,banda, labda hawa ila kwa feisal na kapombe umedanganya labda kama hufuatilii kuna wachezaji wamebadilika kama job,mwamnyeto hata zimbwe ana nguvu za kutosha now
nashangaa watu wanavyomkuza sana, ila n walewaleIla likibu Denisi lingekuwa na football brain, lingekuwa hatari sana, lina mwili wa kazi, tatizo ni Nchimbi type!