ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Watu wote nawasalimia hasa wenye Imani kwa mwenyeziMungu napenda kuwasihi kama hujapata nafasi ya kwenda kusali swala tano Basi angalau ijumaa uende masjid nyie Ni ndugu zangu lazima nawashauri vizuri Mambo yanayofaa kwa hiyari kabisa tokea Sasa mpate muda tuendelee kuwa washirika wa jf.naam itakuwa faida Sana kwangu kwa kutii kwako utafanya Zaidi ya sala utajaliwa Sana nakusalimu sana.asalam alyekum
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app