Nawashauri wanaSimba tumrudishe Gomez

Nawashauri wanaSimba tumrudishe Gomez

Tujipe pole wana Simba. Mchezo wa leo haukuwa upande wetu. Nashauri tumrudishe kocha wetu wa zamani kocha Gomez. Mnaonaje?.
Hapa Jf tunafatiliaga EPL sasa Simba ndo kitu gani au umetoka kijijin sio?
 
Tujipe pole wana Simba. Mchezo wa leo haukuwa upande wetu. Nashauri tumrudishe kocha wetu wa zamani kocha Gomez. Mnaonaje?.
Kama wapinzani wa Simba wanatumia mbinu za nje ya uwanja ,

Hata aje Klopp Utopolo watabebda ubingwa.
 
Au tumrudishe Julio! Anafanya vizuri sana kule Namungo.
 
Tujipe pole wana Simba. Mchezo wa leo haukuwa upande wetu. Nashauri tumrudishe kocha wetu wa zamani kocha Gomez. Mnaonaje?.
Nimejaribu kuangalia timu nyingi zilizoenda mbali kwenye ligi ya mabingwa na shirikisho Afrika, kwenye ligi zao za ndani hawapo kwenye nafasi nzuri Sana.
 
Back
Top Bottom