Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
๐๐๐๐Nasema Ahsante waziwazi. Msioamini kazi kwenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasaidie na ndugu zako wafanikiwe kupitia hayo majiniNitazidi kutia Ubani zaidi ya hapa ๐๐๐๐
OkayHahaha chai hii, Kule HAMAS na HEZBOLLAH wenye majini yao wanapigwa na MAJINI hayasaidii kitu au ndiyo yamekimbilia huku kwetu kuja kugawa visheti?
Hayo majini ni takataka tu kama zilivyo takataka nyingineWasaidie na ndugu zako wafanikiwe kupitia hayo majini
Ongea na majini lile daftari la kupiga kura lisionekane
Wapi huko ๐View attachment 3131211hujasikia huko?
Rombo hukoWapi huko ๐
Wahuni sio watu wazuriRombo huko
Basi kweli majini yapo aiseeeeView attachment 3131211hujasikia huko?
kweli dunia imefika mbali. Unayashukuru masheitwani hadharani!๐๐๐๐Nasema Ahsante waziwazi. Msioamini kazi kwenu.