Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Wasaidie na ndugu zako wafanikiwe kupitia hayo majiniNitazidi kutia Ubani zaidi ya hapa ππππ
OkayHahaha chai hii, Kule HAMAS na HEZBOLLAH wenye majini yao wanapigwa na MAJINI hayasaidii kitu au ndiyo yamekimbilia huku kwetu kuja kugawa visheti?
Hayo majini ni takataka tu kama zilivyo takataka nyingineWasaidie na ndugu zako wafanikiwe kupitia hayo majini
Ongea na majini lile daftari la kupiga kura lisionekane
Wapi huko πView attachment 3131211hujasikia huko?
Rombo hukoWapi huko π
Wahuni sio watu wazuriRombo huko
Basi kweli majini yapo aiseeeeView attachment 3131211hujasikia huko?
kweli dunia imefika mbali. Unayashukuru masheitwani hadharani!ππππNasema Ahsante waziwazi. Msioamini kazi kwenu.