Nawashukuru wana jf kwa msaada wenu wa mawazo.

Nawashukuru wana jf kwa msaada wenu wa mawazo.

Kanjunju

Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
92
Reaction score
6
Natanguliza shukrani zangu kwa mwenyezi mungu kwa kila jambo alilolitenda kwangu.lakini nitakuwa mkosefu wa fadhila kama sitowashukuru kaka na dada zangu wa hapa jf kwa ushauri walioutoa nilipotoa ombi langu la ushauri kwao.hakuna aliyesita kutoa ushauri ukiachilia mbali wale wanaochukulia mambo kirahisi.kimsingi baadhi ya ushauri mlionipa hasa kwenye pm umezaa matunda.hivyo nafikiri wale wote waliotoa ushauri kwamba nisiolewe walikuwa kwenye upande wa mungu muweza wa yote.mungu awabariki na jumapili njema.
 
Hongera kwa kupata na kupokea ushauri ULIOHITAJI hata kama sio ulioutaka.

Kila la kheri.
 
hongera kwa ushauri ulopata

hope ulikuwa mbayuwayu ukamix na zako.
 
Asante kwa feedback; ingawa sikumbuki kuuna uzi wako, na pia hongera kwa kuweza kufanya informed decisions.
 
Back
Top Bottom