Nawashukuru Wote mlio nitakia heri ya Siku ya Kuzaliwa

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,549
Natoa Shukrani kwa wote walionesha kujali nakutumia sekunde chache kuandika andiko juu ya kunitakia heri ya siku ya kuzaliwa, Mwenyezi Mungu awajalie kila la heri
Shukrani za Pekee ziende kwa Yna2 Ambae ndie alibandika Andiko la kunitakia heri ya kuzaliwa, Nawapenda wote marafiki zangu, Aksanteni.
 
Kwanini usingewashukuru kwenye huo uzi mama?

Anyway sio mbaya, uzi mwingine tayari
 
Pitia huo uzi utaona shukrani zangu, pia kumbuka kila alietoa shukrani mule anaeza asipitie comment moja hadi nyingine ila hapa atleast wataona kirahisi
 
Back
Top Bottom