Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Kwanini usingewashukuru kwenye huo uzi mama?Natoa Shukrani kwa wote walionesha kujali nakutumia sekunde chache kuandika andiko juu ya kunitakia heri ya siku ya kuzaliwa, Mwenyezi Mungu awajalie kila la heri
Shukrani za Pekee ziende kwa Yna2 Ambae ndie alibandika Andiko la kunitakia heri ya kuzaliwa, Nawapenda wote marafiki zangu, Aksanteni.
Pitia huo uzi utaona shukrani zangu, pia kumbuka kila alietoa shukrani mule anaeza asipitie comment moja hadi nyingine ila hapa atleast wataona kirahisiKwanini usingewashukuru kwenye huo uzi mama?
Anyway sio mbaya, uzi mwingine tayari
Haya mbe...Pitia huo uzi utaona shukrani zangu, pia kumbuka kila alietoa shukrani mule anaeza asipitie comment moja hadi nyingine ila hapa atleast wataona kirahisi
Karibu Meku.Haya mbe...