sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
10.07.2015.. "Christian Ronaldo wa Uganda".. Okwi, alisajiliwa na SonderjysjkE inayoshiriki Super Liga ya nchini Denmark. Hii ilikuja baada ya wazungu kupagawa kisawasawa na kiwango cha hali ya juu alichokionesha katika majaribio yake ya wiki 2 aliyofanya nchini huko.
Kipindi Magician Okwi, anatua SonderjyskE.. Super Liga ilikua ishaanza mwezi mmoja kabla[07.06.2015]. Hili lilikua ni pigo kubwa kwake kwani alikuta "watalamu" wenzake washamaliza pre season training.. mbinu za kuchukua mataji 3 msimu huu washazikamata kisawa sawa.. Hivyo Okwi akawa na kazi nzito ya kufanya ili kuendana nao.
Ili kuendana na kasi ya wenzake.. Mchawi Okwi, aliingia msituni kujifua ipasavyo. Kutokana na mazoezi makali aliyokua akifanya.. 10.08.2015, Okwi aliumia [hamstring injury].. ambapo alitakiwa kukaa nje kuanzia wiki 4 mpaka 6.
Source: http://www.kawowo.com/index.php/football/item/22956-injury-sidelines-okwi-at-sonderjyske-fodbold.html
13.09.2015 [wiki 4 tu tangu aumie], Kocha kwa kiburi chake na kutofuata ushauri wa Madaktari, alimuingiza Okwi kama Sub.. ilikuokoa jahazi la SonderjyskE ambalo lilikua linazama.
Hii haikua nzuri kwa pande zote za shilingi.. kwani katika upande mmoja, timu ilifungwa.. katika upande mwingine zile hatua 4 alizopiga Okwi kuelekea kupona hazikua na maana tena, kwani alirudi hatua 3 nyuma.
Mpaka sasa Christian Ronaldo wa Uganda kashapona kabisa.. Na anaendelea kujifua ili aweze kufikia level za Watalamu wenzake.
Nachoamini soon... Very Soon.. Emanuel Okwi atakabidhiwa kiti chake katika 1st eleven ya SonderjyskE.
NB: 17.10.2015 SonderjyskE tutakua ugenini kupambana ambapo tukishinda, tutachupa hadi nafasi ya 2.

Mungu mbariki Emanuel Okwi.. Mungu ibariki SonderjyskE ili msimu ujao nimshuhudie kijana wako Okwi akiwatesa makipa katika UEFA CL.