Nawashushia faili zima la Emanuel Okwi tangu atue nchini Denmark

badala ya kutuletea taarifa za wachezaji wetu wa bongo wewe unaleta za uganda......hovyo kabisa
Halafu alivyoweka Heading yake na kile kilichoandikwa ni vitu viwili tofauti kabisa. Sijaona cha maana kwa Magician wake zaidi ya Injury za kila leo.
Mahaba mabaya sana
 
Halafu alivyoweka Heading yake na kile kilichoandikwa ni vitu viwili tofauti kabisa. Sijaona cha maana kwa Magician wake zaidi ya Injury za kila leo.
Mahaba mabaya sana
hajawahi pata injury ila benchi linamhusu
 
mwanzo umeanza vzur mwishon umemaliza ovyo tena ovyo kabisa mtu anakaa benchi nae wa kumsifia huyo ni kama diabi alivokua asenal pale alikua majeruhi muda mrefu
 
Yupo SC Villa kwa sasa

Kiiza yuko URA ameshatoka Sauzi.
 
Wakuu.. Kuna haja gani ya kufukua makaburi yaliyofukiwa?!
Duh! mtani umetoka lini eneo korofi ?yaani kuweka updates imekuwa kufukua makaburi? mara kwa mara hukwambia wino huu haufutiki bure bure kwema lakini?
 
Duh! mtani umetoka lini eneo korofi ?yaani kuweka updates imekuwa kufukua makaburi? mara kwa mara hukwambia wino huu haufutiki bure bure kwema lakini?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .. sawa mtani... huku ni kwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…