Nawashwa mwili mzima jamani

Nawashwa mwili mzima jamani

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
621
Sasa takribani mwezi mmja nawashwa mwili mzima sasa, na nilianza tu baada ya kumgegeda dem mmoja siku ya 3 ndo ikawa hivi ,nilifanya kavu sasa nawasiwasi kaniachia ngoma au ugonjwa gani huu? nilienda kairuki last week nikaambiwa nimuone daktari wa aleji j4 lakini kabla ya kwenda huko, hili tatizo kuna mtu lilishawahi kumpata?

Yaani natenda nusu saa ya kujikuna haijawahi nitokea kabisa.
 
Mkuu.@MENISON unacheza mpira pasipo na kuvaa soksi hahahahhah?Una Riski kweli na maisha yako, wewe sasa nenda hiyo jumanne kamuone huyo Daktari wa aleji na usikose kupima HIV.
 
Acha ushamba huo hiyo alleji kila ktu unadhan vvu kuwa makin na hisia zako au una fikiri vvu dalili ni hyo moja tu {tumia dawa ya allergy inaitwa centrizen}
 
Back
Top Bottom