Nawashwa mwili mzima

Nawashwa mwili mzima

daveposta

Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
52
Reaction score
8
Nmefikisha kama mwiez3 nawashwa mwl mzima hasa kwenye maungio ya mikono na miguu, kwenye uume na ku7bisha vpele kutokea.
 
Vpele kwenye mboo vnatoa maj na vnawasha xana ila magotini haviwashi. Hata nikienda haja kubwa anus unawasha msaada plz.
 
Umekula vya watu mkuu...muombe msamaha mwenyewe bila hivyo itakatika!
 
Vpele kwenye mboo vnatoa maj na vnawasha xana ila magotini haviwashi. Hata nikienda haja kubwa anus unawasha msaada plz.

Jitahidi kutumia lugha ya kistaarabu basi,au ndo ugonjwa umeingia hadi kichwani?!
 
Nenda kamuone doctor,kuwashwa kuna 7bu kazaa,inawezekana una alerg(mzio),au vpele vya joto,na inawezekana ukawa umepata maambukizo ya magonjwa ya zinaa km kaswende au gono kwny hatua za awali
 
Back
Top Bottom