daveposta Member Joined Feb 19, 2011 Posts 52 Reaction score 8 Jan 9, 2014 #1 Nmefikisha kama mwiez3 nawashwa mwl mzima hasa kwenye maungio ya mikono na miguu, kwenye uume na ku7bisha vpele kutokea.
Nmefikisha kama mwiez3 nawashwa mwl mzima hasa kwenye maungio ya mikono na miguu, kwenye uume na ku7bisha vpele kutokea.
daveposta Member Joined Feb 19, 2011 Posts 52 Reaction score 8 Jan 9, 2014 Thread starter #2 Vpele kwenye mboo vnatoa maj na vnawasha xana ila magotini haviwashi. Hata nikienda haja kubwa anus unawasha msaada plz.
Vpele kwenye mboo vnatoa maj na vnawasha xana ila magotini haviwashi. Hata nikienda haja kubwa anus unawasha msaada plz.
I Ikimbu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 301 Reaction score 32 Jan 9, 2014 #3 Kamuone Daktari itakuwa Kaswende hiyo
E enstein1 Member Joined Jul 14, 2009 Posts 68 Reaction score 29 Jan 9, 2014 #4 Kamuone Dr. Inaweza kuwa allergy ya kitu fulani pia!!
SOCIOLOGISTTZ JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 2,615 Reaction score 927 Jan 9, 2014 #5 Umekula vya watu mkuu...muombe msamaha mwenyewe bila hivyo itakatika!
danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,674 Jan 9, 2014 #6 Kamuone daktari ni bora zaidi
mayenga JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 4,118 Reaction score 1,970 Jan 9, 2014 #7 daveposta said: Vpele kwenye mboo vnatoa maj na vnawasha xana ila magotini haviwashi. Hata nikienda haja kubwa anus unawasha msaada plz. Click to expand... Jitahidi kutumia lugha ya kistaarabu basi,au ndo ugonjwa umeingia hadi kichwani?!
daveposta said: Vpele kwenye mboo vnatoa maj na vnawasha xana ila magotini haviwashi. Hata nikienda haja kubwa anus unawasha msaada plz. Click to expand... Jitahidi kutumia lugha ya kistaarabu basi,au ndo ugonjwa umeingia hadi kichwani?!
S sugi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,392 Reaction score 295 Jan 9, 2014 #8 Huko kwenye anus dawa ninayo
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,393 Jan 9, 2014 #9 mayenga said: Jitahidi kutumia lugha ya kistaarabu basi,au ndo ugonjwa umeingia hadi kichwani?! Click to expand... Lugha ya kistaarabu ni ipi? Au mimi ndo sielewi?
mayenga said: Jitahidi kutumia lugha ya kistaarabu basi,au ndo ugonjwa umeingia hadi kichwani?! Click to expand... Lugha ya kistaarabu ni ipi? Au mimi ndo sielewi?
Mustin Member Joined Dec 16, 2013 Posts 27 Reaction score 1 Jan 9, 2014 #10 Nenda kamuone doctor,kuwashwa kuna 7bu kazaa,inawezekana una alerg(mzio),au vpele vya joto,na inawezekana ukawa umepata maambukizo ya magonjwa ya zinaa km kaswende au gono kwny hatua za awali
Nenda kamuone doctor,kuwashwa kuna 7bu kazaa,inawezekana una alerg(mzio),au vpele vya joto,na inawezekana ukawa umepata maambukizo ya magonjwa ya zinaa km kaswende au gono kwny hatua za awali