Nawashwa sana maeneo ya mapaja

Nawashwa sana maeneo ya mapaja

Mpole mimi

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
315
Reaction score
104
Habari wataalamu.

Msaada tafadhal... Wiki ya tatu hii pembeni ya mapaja karibu na uke kumetokea utando fulani ambao unawasha sana... Yaan najikuna mpaka nahisi maumivu..hadi kunatengeneza weusi sasa... Hadi kama ngozi inabanduka.

Nimejitahidi kusafisha na maji ya uvuguvugu na pamoja kupaka mafuta ya maji lakini wapi. Nashindwa kuelewa tatizo nini?!

Msaada tafadhali
 
Habari wataalamu.
Msaada tafadhal... Wiki ya tatu hii pembeni ya mapaja karibu na uke kumetokea utando fulani ambao unawasha sana... Yaan najikuna mpaka nahisi maumivu..hadi kunatengeneza weusi sasa... Hadi kama ngozi inabanduka. Nimejitahidi kusafisha na maji ya uvuguvugu na pamoja kupaka mafuta ya maji lakini wapi. Nashindwa kuelewa tatizo nini?! Msaada tafadhali

kama wewe ni mwanamke basi hiyo ni dalili ya kupata ujauzito na kama wewe ni mwanaume basi hizo ni dalili za kuugua tezi dume.
 
Back
Top Bottom