Habari wataalamu.
Msaada tafadhal... Wiki ya tatu hii pembeni ya mapaja karibu na uke kumetokea utando fulani ambao unawasha sana... Yaan najikuna mpaka nahisi maumivu..hadi kunatengeneza weusi sasa... Hadi kama ngozi inabanduka. Nimejitahidi kusafisha na maji ya uvuguvugu na pamoja kupaka mafuta ya maji lakini wapi. Nashindwa kuelewa tatizo nini?! Msaada tafadhali