nawashwa sana.

nawashwa sana.

Deepa

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
227
Reaction score
116
salaam nyingi ziwafikie woote.
Baada ya salam, ni hivi; tangu nimejifungua kwa operation mtoto wangu wa 2 ni mwaka 1 umepita ila nina tatizo na mshono wangu, unawasha sana na kuchoma choma. Nikiukuna unauma na umevimba. Daktari naomba ushauri.
 
Umeshindwa kwenda kwa daktari wa ukweli?
hapa pia c naweza kupata ushauri mkuu, mwanzo ckujua kama ni shida ila nilipomuonyesha mume wangu akasema itakuwa ni tatizo. Nimeshafanya appointment na dokta wangu nitamuona wiki hii. Thanx mkuu.
 
Pole sana
Kwa case yako nenda hospital kwanza.
 
Andikeni habari vizuri jamani, mnakuwa kama jambo Lao

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Pamoja na kwenda hospitali kumuona daktari, nakushauri pia utumie SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL kwa kunywa (internal application) na kumwagia kwenye mshono wako (external application).

Splina Liquid Chlorophyll

Imetengenezwa kutokana na mmea wa "Mulberry " unaotambulika kama chanzo bora cha "Chlorophyll".

Mlo wa kila siku unatakiwa uwe na Asidi 20% and Alkali 80% ili kuuweka mwili katika afya". - Kutokana na Prof. Ragnar Berg, Mwanalishe wa Marekani.

Kijiko Kimoja cha Chakula cha Splina Liquid Chlorophyll ni sawa na Kilogram Moja ya Mbogamboga (Mboga za Majani)

Ni vyakula vipi vyenye Asidi/Alkali

Vyakula asid:
Nyama, Vyakula vya baharini, nafaka, sukari, mafuta, na Vyakula vya makopo.

Vyakula vya Alkali:
Mboga za majani (Mbogamboga), Matunda, na Vyakula vya Mizizi (Karoti, Mihogo, Viazi, n.k)

"Splina" Liquid Chlorophyll is RICH with the following nutrients:

Zinc - helps in cell division and cell growth for faster wound healing.

Selenium - Provides protection from the toxic effects of heavy metals and other substances

Vitamin E - Nourishes the skin and keeps the brain active.

Vitamin C - Promotes healthy teeth and gums. Increases alertness and possesses anti-cancer properties.

Vitamin A - Helps in the formation and maintenance of healthy teeth, skeletal and soft tissue, mucous
membrane and skin. Promotes good vision. Strengthens the heart function.

Protein - Helps in growth and development especially for children and adolescents. Maintains the cell,
muscles, tendons and ligaments.

Biotin – essential for the metabolism of proteins and carbohydrates.

Folic Acid – Acts as a co-enzyme with vitamin B12 and Vitamin C in the breakdown and synthesis of
hormones and cholesterol.

Pantothenic – Essential in the synthesis of Acid hormones and cholesterol

Calcium – important for growth and reproduction of human body, maintains also healthy teeth and
bones.

Chromium – Stimulates fatty acid and cholesterol synthesis and an activator of of several enzymes.

Phosphorous – Assists in the contraction of muscles in functioning of kidneys, maintaining of regularity
of heartbeat

Potassium – It is necessary for muscle building and normal body growth.

Magnesium – Helps in Muscle relaxation and contraction

Iron – Essential to the formation of haemoglobin which carries the oxygen in the blood and muscles.

Faida za kutumia "Splina Liquid Chlorophyll"
1. Inasaidia kuhuisha seli na kuongeza kinga.
2. Inaondoa harufu mbaya mwilini na sores.
3. Inaondoa tatizo la mmeng'enyo wa chakula.
4. Inasafisha Ini kwa kuondoa sumu kwenye Ini
5. Inaondoa kwa haraka sumu zilizo ingia mwilini
kupitia dawa za kuua wadudu.
6. Inaweka uwiano sahihi wa tindikali na alkali mwilini.
7. Inaongeza chembe hai nyekundu za damu
8. Inaaondoa mikunyanzi ya uzee na kupunguza kasi ya kuzeeka.
9. Inapunguza uzito kwa haraka.

Nani anatakiwa kutumia "Splina Liquid Chlorophyll"

  • Watu wenye matatizo ya moyo
  • Watu wanao toka jasho sana
  • Watu wenye matatizo ya Ini
  • Watu wenye matatizo ya upumuaji (Pumu,TB n.k)
  • Watu wenye matatizo ya mifupa na viungo
  • Watu wenye upungufu wa damu
  • Watu wenye ngozi iliyo pauka
  • Watu wenye matatizo ya uzito (uzito uliozidi au uzito pungufu)
  • Watumiaji wa pombe na sigara
  • Watu wasiopenda kula mboga za majani
  • Wanaosumbuliwa na tatizo la kukosa choo
  • Wanopata maumivu wakati wa hedhi
  • Wenye kisukari,vidonda vya tumbo na vidonda sugu.
  • Watu wanao ugua mafua mara kwa mara
  • Watu wenye matatizo ya koo (kukereketa n.k)
  • Watu wanaotoa harufu mbaya mwilini na mdomoni
  • Watu walio bize sana na wenye msongo wa mawazo
  • Watu wanaopenda kula vyakula vya harakaharaka (chips, burger, pizza n.k)

Naamini maelezo haya yatakuwa msaada kwako na jamii yako inayokuzunguka pamoja na Wanajamvi kwa ujumla.

Kwa taarifa zaidi, piga: 0713 366 473 or 0767 277 223.

KARIBUNI. FEEL LOVE NOW!
 
Pamoja na kwenda hospitali kumuona daktari, nakushauri pia utumie SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL kwa kunywa (internal application) na kumwagia kwenye mshono wako (external application).

Splina Liquid Chlorophyll

Imetengenezwa kutokana na mmea wa “Mulberry ” unaotambulika kama chanzo bora cha “Chlorophyll”.

Mlo wa kila siku unatakiwa uwe na Asidi 20% and Alkali 80% ili kuuweka mwili katika afya”. - Kutokana na Prof. Ragnar Berg, Mwanalishe wa Marekani.

Kijiko Kimoja cha Chakula cha Splina Liquid Chlorophyll ni sawa na Kilogram Moja ya Mbogamboga (Mboga za Majani)

Ni vyakula vipi vyenye Asidi/Alkali

Vyakula asid:
Nyama, Vyakula vya baharini, nafaka, sukari, mafuta, na Vyakula vya makopo.

Vyakula vya Alkali:
Mboga za majani (Mbogamboga), Matunda, na Vyakula vya Mizizi (Karoti, Mihogo, Viazi, n.k)

“Splina” Liquid Chlorophyll is RICH with the following nutrients:

Zinc - helps in cell division and cell growth for faster wound healing.

Selenium - Provides protection from the toxic effects of heavy metals and other substances

Vitamin E - Nourishes the skin and keeps the brain active.

Vitamin C - Promotes healthy teeth and gums. Increases alertness and possesses anti-cancer properties.

Vitamin A - Helps in the formation and maintenance of healthy teeth, skeletal and soft tissue, mucous
membrane and skin. Promotes good vision. Strengthens the heart function.

Protein - Helps in growth and development especially for children and adolescents. Maintains the cell,
muscles, tendons and ligaments.

Biotin – essential for the metabolism of proteins and carbohydrates.

Folic Acid – Acts as a co-enzyme with vitamin B12 and Vitamin C in the breakdown and synthesis of
hormones and cholesterol.

Pantothenic – Essential in the synthesis of Acid hormones and cholesterol

Calcium – important for growth and reproduction of human body, maintains also healthy teeth and
bones.

Chromium – Stimulates fatty acid and cholesterol synthesis and an activator of of several enzymes.

Phosphorous – Assists in the contraction of muscles in functioning of kidneys, maintaining of regularity
of heartbeat

Potassium – It is necessary for muscle building and normal body growth.

Magnesium – Helps in Muscle relaxation and contraction

Iron – Essential to the formation of haemoglobin which carries the oxygen in the blood and muscles.

Faida za kutumia “Splina Liquid Chlorophyll”
1. Inasaidia kuhuisha seli na kuongeza kinga.
2. Inaondoa harufu mbaya mwilini na sores.
3. Inaondoa tatizo la mmeng’enyo wa chakula.
4. Inasafisha Ini kwa kuondoa sumu kwenye Ini
5. Inaondoa kwa haraka sumu zilizo ingia mwilini
kupitia dawa za kuua wadudu.
6. Inaweka uwiano sahihi wa tindikali na alkali mwilini.
7. Inaongeza chembe hai nyekundu za damu
8. Inaaondoa mikunyanzi ya uzee na kupunguza kasi ya kuzeeka.
9. Inapunguza uzito kwa haraka.

Nani anatakiwa kutumia “Splina Liquid Chlorophyll”

  • Watu wenye matatizo ya moyo
  • Watu wanao toka jasho sana
  • Watu wenye matatizo ya Ini
  • Watu wenye matatizo ya upumuaji (Pumu,TB n.k)
  • Watu wenye matatizo ya mifupa na viungo
  • Watu wenye upungufu wa damu
  • Watu wenye ngozi iliyo pauka
  • Watu wenye matatizo ya uzito (uzito uliozidi au uzito pungufu)
  • Watumiaji wa pombe na sigara
  • Watu wasiopenda kula mboga za majani
  • Wanaosumbuliwa na tatizo la kukosa choo
  • Wanopata maumivu wakati wa hedhi
  • Wenye kisukari,vidonda vya tumbo na vidonda sugu.
  • Watu wanao ugua mafua mara kwa mara
  • Watu wenye matatizo ya koo (kukereketa n.k)
  • Watu wanaotoa harufu mbaya mwilini na mdomoni
  • Watu walio bize sana na wenye msongo wa mawazo
  • Watu wanaopenda kula vyakula vya harakaharaka (chips, burger, pizza n.k)

Naamini maelezo haya yatakuwa msaada kwako na jamii yako inayokuzunguka pamoja na Wanajamvi kwa ujumla.

Kwa taarifa zaidi, piga: 0713 366 473 or 0767 277 223.

KARIBUNI. FEEL LOVE NOW!

ahsante mkuu, shukran kwa ushauri wako. Ila nauliza hv; hiyo dawa haina side effect yoyote kwa mtumiaji wa dawa zingine? Mfano mm n
atumia dawa za moyo 'atenolol' haitoleta shida kwangu?
 
Back
Top Bottom