Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Omo ni mwana ccm ? Wewe sio mzima pole sanaZitto kaua kabisa harakati za siasa Zanzibar. Tena wamempa uwenyekiti mwanaccm OMO.
Wanapaswa kuona hii drama ya Luhaga Mpina, inaonekana kabisa ni planned move. Ni tukio lingine linalopaswa kuwapa ishara ya kujinasua, na kwamba wanatumika kama dhamana ya kupiga madili.Mkiambiwa Zitto Kabwe ni dalali wa CCM muwe mnaelewa
Kwa sasa ni kama jamii ya Zanzibari haina shida yeyote na wanaishi kwa raha mstarehe; siamini hivo kwa 100% japo kuna neema fulani lakini siamini kabisa kwamba wazanzibari hawana madukudukuZitto kaua kabisa harakati za siasa Zanzibar. Tena wamempa uwenyekiti mwanaccm OMO.
Inasikitisha kwa kweli, lakini inasikitisha zaidi kwa Wazanzibar walioweka pamba masikioni kwamba hakuna dukuduku lolote la kidemokrasiaAlafu mwenyewe yupo kimyaaaaa!¡! Huyu kweli ni tapeli
Kuwa mwana CCM sio lazima uwe na kadi, wapo makada wa CCM kwa imani!Omo ni mwana ccm ? Wewe sio mzima pole sana
Kwasisi tuliosoma harakati za Maalim Seif Sharif Hamad na namna alivyokuwa anapambania haki kwenye ardhi ya wazanzibari, Zanzibari ambayo ilikuwa, na bado inayo, mgawanyiko mkubwa kwenye jamii yake kati ya Waafrika, Washiraz, Waarab, Wahindi, na Wacomoro.
Nina hisia kama hizo pia, ila gia inaweza kubadilika angani ikiwa mambo kwa ground yatabadilika sana.Hata baba levo aambiwe na watu wake wa karibu kua bungeni haendi pale kawekwa kama chambo tu.
Lile jimbo ni la Zitto iwe kwa kura halal au vinginevyo.
Namuona baba levo ashaanza kijiaminisha kua kigoma mjini ni yake.
Ushaur asijetumia hela zake kizembe aende kwa step kubwa sana lile jimbo ni la kimkakati sana.
Hamjamsikili, Polepole?Alafu mwenyewe yupo kimyaaaaa!¡! Huyu kweli ni tapeli
zanzibar kwa sasa tumestarehe.lam kila kona na flei over nayo inakamilika hapa kwerekwe. halikadhalika kwa sisi wakaaz wa shamba bus no 346 kituo kwa sio zari lami yetu mpaka makunduchi via kizimkaz mkeka tu twateleza. tobo la pili hapa sema tu sisi kinamama wa beshara ndogondgo mgambo hapa darajan hawana utu wanachkua samakKwa sasa ni kama jamii ya Zanzibari haina shida yeyote na wanaishi kwa raha mstarehe; siamini hivo kwa 100% japo kuna neema fulani lakini siamini kabisa kwamba wazanzibari hawana madukuduku
Japo haujaeleza ubaya wa Zitto kwenye uzi huuKufanya kosa sio kosa, ila endapo ukiendelea kukosea baada ya kulitambua kosa lako la awali, hapo yafaa kabisa wewe kuwekwa kwenye kundi la wapumbavu!
Ujumbe huo uwaendee ACT Zanzibar; waliojitumbukiza kwenye chama la wana, wakakutana na kabali ya mwana - ZZK! Mwana ambaye huu mwaka wa 10 sasa ametumia nguvu ya ACT Zanzibar kama dhamana ya kujitengenezea nafasi ya kuibagaza demokrasia kotekote - Bara na Visiwani.
Kwasisi tuliosoma harakati za Maalim Seif Sharif Hamad na namna alivyokuwa anapambania haki kwenye ardhi ya wazanzibari, Zanzibari ambayo ilikuwa, na bado inayo, mgawanyiko mkubwa kwenye jamii yake kati ya Waafrika, Washiraz, Waarab, Wahindi, na Wacomoro.
Ni wazi, muunganiko wa ZZK na ACT Zanzibar, haujazaa tija ya kupambana na matatizo lukuki kwenye jamii ya wazanzibari. Kulingana na aina ya demokrasia ya chama cha ACT Wazalendo, kuna hatari ya kuwafanya ACT Zanzibar kama tawi la CCM huko Zanzibar, ikikinzana kabisa na historia ya mapambano ya haki na demokrasia yaliyopambaniwa kwa jasho na damu na Maalim Seif Sharif Hamad
Kwa mwenendo wa sasa, kuna hatari ya kutozisikia sauti za wazanzibari wanaopigania haki na uhuru wa kidemokrasia.
Ikiwa ACT Zanzibar wanataka kurejesha mapambano ya kweli ya haki, hawana budi kujinasua kwanza kwenye mikono ya vibaraka wa CCM; hawana budi ya kung'oka kwenye kabali ya ZZK!
Walifikirie na hili!
MC
Sure Zitto ni tapeliMkiambiwa Zitto Kabwe ni dalali wa CCM muwe mnaelewa
Zito ni ndumilakuwiliMkiambiwa Zitto Kabwe ni dalali wa CCM muwe mnaelewa
Kwa hiyo na wewe ni CCM lakini huna kadi ?Kuwa mwana CCM sio lazima uwe na kadi, wapo makada wa CCM kwa imani!
Haihitaji maelezo, we si unaona hizi sarakasi mkuu, na watu wanazungumza hili suala kila kona.Japo haujaeleza ubaya wa Zitto kwenye uzi huu