zanzibar kwa sasa tumestarehe.lam kila kona na flei over nayo inakamilika hapa kwerekwe. halikadhalika kwa sisi wakaaz wa shamba bus no 346 kituo kwa sio zari lami yetu mpaka makunduchi via kizimkaz mkeka tu twateleza. tobo la pili hapa sema tu sisi kinamama wa beshara ndogondgo mgambo hapa darajan hawana utu wanachkua samak