Nawasihi kina dada kunyoa nywele za chini

Mkuu ukikuta msitu wa amazon unang'oa kwanza then uendelee na mambo mengine...lakn vp hakutaka unyonye papuchi[emoji87] [emoji87] [emoji125]
 
Ni kweli Lakini wewe umezidisha mno
Siyo one week kwa kawaida inatakiwa kunyoa Mara mbili kwa wiki inamaana mtu hatafanya mapenzi wiki alafu mbili Ndo Anafanya,ni siku moja tu inatosha...!!
 
hahaha, nikajua kuzimu kumbe mashimo yapo mengi hapa duniani😱😱
 
Mkuu kuna shaving creams, dakika tatu ukienda kuoga mambo safi, haya mambo ya topz mbona ni zama za ujima.
 
Wengine tuna katani.. Zinatuchoma ata sisi wenyewe zikiwa ndefu. [emoji23][emoji23][emoji23] hazifai kabisa kuachwa aisee
hapo ndo kazi ilipo[emoji23][emoji23]..

wenye usinga inatulazimu kutokunyoa kwasababu unanyoa leo kisho zimechanua bustani...
ndo mana tunaziachaga[emoji23]
 
Uharibufu wa mazingira. Bora kubana mchicha tu.
 
kwa nini ulikubali kuingia msituni si ungepita ile njia nyingine uwaga ni nyeupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…