Nawasihi kina dada kunyoa nywele za chini

WEWE UTAKUWA KUNGWI TOKA BANGLADESHI NINI?
 
Ni kweli kabisa mkuu lakini uko vijijini ndanindani sidhani kama iyo ina nguvu....!!!
Kuna dada alitoka huko bush, amefika mjini anamuomba dada yake akamnunulie topaz, dada akamuonyesha cream na jinsi ya kuitumia. Baada ya muda ameshapata bwana mjini, anataka kusafisha maeneo kabla ya date, si aliiacha kama dakika 20 hivi, kwenda bafuni cream imeondoka na nywele na ngozi. Alinihadithia anasema usiku alingoja watoto walale aweke feni usawa wa maeneo. Kwakweli nilicheka saa.
 
duuuh ahahahaa
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nimecheka mpka nimepiz
 
Mkuu kuna shaving creams, dakika tatu ukienda kuoga mambo safi, haya mambo ya topz mbona ni zama za ujima.
Mi napenda KE ambaye hajanyoa kama anaweza kuwa msafi. Zinaongeza mashamu mashamu zile nywele zikikugusa sehemu ya chini ya tumbo.
 
Kuna mwanadada moja nilibanjuka nae ,kwa namna alivyokuwa amenyoa kiduku chake kule kunako mautamu laaah ilikuwa chachandu sana ya ile show
Hii kitu ni nzuri kama mtu amenyoa kuzunguka k ma sehemu nyingine ameaacha.
 
Ungemnyoa kwanza
 
Hahahahahahaha du!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…