Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nimesikia kuwa misafara ya Vijana WA CHADEMA wamezuiliwa iringa wasiendelee na safari Yao kwenda Mbeya kuadhimisha siku ya Vijana.
Mheshimiwa Mbowe nae eti kaitwa kwa Msajili wa vyama, unajiuliza, hawa watu wanatumia akili au wanatumia vitu gani? Jana Vijana WA CCM walikua na kongomano ZANZIBAR sikusikia wakizuiliwa....
Nadhani tusitake kujenga taharuki zisizo na msingi.