Nawasihi Polisi watumie "akili" za kwenye kuzuia misafara

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Nimesikia kuwa misafara ya Vijana WA CHADEMA wamezuiliwa iringa wasiendelee na safari Yao kwenda Mbeya kuadhimisha siku ya Vijana.

Mheshimiwa Mbowe nae eti kaitwa kwa Msajili wa vyama, unajiuliza, hawa watu wanatumia akili au wanatumia vitu gani? Jana Vijana WA CCM walikua na kongomano ZANZIBAR sikusikia wakizuiliwa....

Nadhani tusitake kujenga taharuki zisizo na msingi.
 
Inasikitisha sana,hata yule Mama wa Bangladesh alianza kuwa MBABE hivyo hivyo.
 
Nasikia walikuwa na misokoto ya bangi na madawa hatari ya kulevya, acha polisi wafanye kazi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…