Jostamas
Member
- Jan 15, 2013
- 26
- 8
Nawasihi walimu wa Tanzania, wasikae kimya kuhusu CWT, sab kwa muonekano wa nje chama ni chao, ila kiundani chama sio chao, kwani wanachama ndio huamua kuhusu chama chao, ila walimu wa Tanzania hawaamui chochote kuhusu chama chao!
Hata mapato na matumizi ya kila mwezi ya chama chao hawayajui, chama kinaongeza matumizi baada ya kupunguza, mfano, kunahaja gani ya kua na makatibu kila wilaya wakitumia gari na mafuta kwa makato ya wanachama, benki ya wimu ina riba ya 16% ambayo bado ni kubwa sana kwa walimu, na inatakiwa walimu wote wanao katwa wna CWT wapewe gawio la faida kwani benki inaendeshwa kwa mchango wa pesa zao ila wanapotoshwa kwa kuambiwa wanunue hisa wakat hata wasipo nunua hisa fedha zao zinatumika.
AMKENI Walimu.