“nawasubiri wazazi wa mwanaume watoe maamuzi” – ray c…!!

“nawasubiri wazazi wa mwanaume watoe maamuzi” – ray c…!!

Gumzo

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
211
Reaction score
8
ray_c.jpg


MSANII Rehema Chalamila ‘Ray C’ au unaweza kumuita ‘kiuno bila mfupa’ utakuwa haujakosea, amefunguka na kudai kuwa mikakati yake ya ndoa na bwana ake wa Kenya bado inaendelea lakini wanaochelewesha ni wazazi wa mwanaume ambao wanaonekana kuchukua muda katika kutoa maamuzi.

Kufunguka kwa msanii huyo kumekuja siku chache baada ya kuzungumza na mwandishi wetu, ambapo alidai kuwa hataki kufanya mambo haraka haraka kwani muda bado upo wa kutosha.

rehema.jpg

Ray C stejini

Msanii huyo alipoulizwa kuwa tangu iliposikika anataka kuolewa huko nchini Kenya ni muda mrefu umepita ni kitu gani kinachokwamisha, alijibu kuwa kwa upande wake yupo tayari lakini upande wa mwanaume ndiyo wanaochukua muda kutoa maamuzi lakini anaamini kuwa kila kitu kitaenda kama walivyopanga.

KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI: "NAWASUBIRI WAZAZI WA MWANAUME WATOE MAAMUZI" – RAY C…!!
 
Huyu kwanza ni used na tayari ana mtoto mkubwa tu analelewa kwao Iringa. Bora wazazi wa Mume wampotezee tu
 
Huyu kwanza ni used na tayari ana mtoto mkubwa tu analelewa kwao Iringa. Bora wazazi wa Mume wampotezee tu

Daaa! mkuu, hata sikuwa nafahamu hili,,ana umri gani? wa kike/kiume,, Kumbe hata Mwisho alikuwa anakula mashine used kiasi hichi!
 
Hilo poziiiiiii+iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kwa hili sikubaliani na wewe, hata kama used. I think she has right to love again and form a family kumbe nyie ndo waleee.
Kazi kweli kweli

I agree....as if wao they are brand new...ukiuliza wamechomeka na kuchomoa hiyo mihogo yao mara ngapi,i am sure they have already lost count
 
I agree....as if wao they are brand new...ukiuliza wamechomeka na kuchomoa hiyo mihogo yao mara ngapi,i am sure they have already lost count

mihogo huwa haitepeti na kuwa kama mfuko wa rambo...so ata ikiwa used inapendeza tu.
 
Kachoka kweli.... mashine iko used sana....hata overhaul haifai tena....uliuza uchi too much sasa kakongoroka analazimisha kuolewa.... eeeeehhheee....!!!
 
mngejua kama used ndo inazidi kuwa tamu wala msingesema msemayo
 
Back
Top Bottom