Nawatafuta mabest zangu wa lugalo primary school

Nawatafuta mabest zangu wa lugalo primary school

Suzzie

Member
Joined
Feb 25, 2009
Posts
98
Reaction score
12
Wapendwa wote wa JF kama kuna mtu anafahamu walipo hawa wafuatao naomba anijulishe.

1. Harrieth Mtuy
2. Gloria Mziray
3. Hidaya Ukondwa
4. Hasina Musa
5. Ashura Kazinja
6. Elizabet Kabigi

Tafadhali mwenye detail zao naomba animwagie, tuliachana miaka ya 94 pale Lugalo Primary, enzi za mwalimu Kabigi.
 
Back
Top Bottom