Hongera kwa kuwatafuta ndugu zako niliwafahamu wakiwa Mbeya wakiwa wadogo kama ndo hao unao watafuta mwingine alikuwa anaitwa Talagwa Marwa. Mama yao alikuwa Mwalim wa shule ya Msingi na Baba yao wakati huo alikuwa anafanya Kazi huko Morogoro Kihansi je ni hao? Kama ndiyo nijulishe niombe namba ya Baba yao kuna jamaa nafahamiana nayeHabarini wakuu nawatafuta ndugu zangu wafuatao Sophia Antony Marwa, Marwa Antony Marwa Nilipotezana nao 2003 mkoani Mbeya, Nlikuwa bado mdogo sana.
Pia Omari M Mwita, John M Mwita ni ndugu nawatafuta. kwa ambae atakuwa anawafahamu tafdhari naomba tuwasiliane kwa namba 0753500631/0784304324.
Mimi ni kaka yao au mdogo wao Werema M Mwita.
Asanteni..
Aisee baraka ilikuwa upande wako,haujachukua muda mrefu,aisee.Asanteni kwa ushirikiano wenu nimefanikiwa kuwapata.
Asee hongera..Asanteni kwa ushirikiano wenu nimefanikiwa kuwapata.
Hongera kwa kuwatafuta na kuwapata mungu akubarikHabarini wakuu nawatafuta ndugu zangu wafuatao Sophia Antony Marwa, Marwa Antony Marwa Nilipotezana nao 2003 mkoani Mbeya, Nlikuwa bado mdogo sana.
Pia Omari M Mwita, John M Mwita ni ndugu nawatafuta. kwa ambae atakuwa anawafahamu tafdhari naomba tuwasiliane kwa namba 0753500631/0784304324.
Mimi ni kaka yao au mdogo wao Werema M Mwita.
Asanteni..
Asanteni kwa ushirikiano wenu nimefanikiwa kuwapata.
Hongera sanaAsanteni kwa ushirikiano wenu nimefanikiwa kuwapata.