Nawatafuta Ukoo wa Mkombe wa Lupa tinga tinga Chunya

Nawatafuta Ukoo wa Mkombe wa Lupa tinga tinga Chunya

Nawatafuta watu kutoka familia ya Ukoo wa Mkombe kutoka Lupatingatinga, Chunya...

Kama mpo humu ndani please inbox me au comment hapa.

With much thanks in advance
Paliwahi kuwepo na Njelu Kasaka (kama hivyo) mbunge wa Chunya/Lupa. Tembelea watu wake upate pa kuanzia.
 
Elezea sababu za kutafuta ukoo wa watu.
Usije ukawa unataka kuwaangushia jumba bovu.

bibi kizaa baba anatoka ukoo huo babu alitengana na bibi sometime in 1954 baba akiwa 4 years old na hakukuwa na mawasiliano tena. Baba ameshafariki tayari na babu ameshafariki toka miaka ya tisini. Nataka niujue tu huo ukoo
 
Bus la Mkombe luxury linalofanya safari zake toka Dar kwenda Africa ya Kusini kwa nauli ya Shilingi 350,000.

Waone hao yaweza kuwa ndio ndugu zako.
 
Jamani bado natafuta mtu mwenye data za ukoo we mkombe wa chunya Lupa tinga tinga
 
Back
Top Bottom