Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Na iwe hivyo kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watakuja tu
Paliwahi kuwepo na Njelu Kasaka (kama hivyo) mbunge wa Chunya/Lupa. Tembelea watu wake upate pa kuanzia.Nawatafuta watu kutoka familia ya Ukoo wa Mkombe kutoka Lupatingatinga, Chunya...
Kama mpo humu ndani please inbox me au comment hapa.
With much thanks in advance
Asante mkuuPaliwahi kuwepo na Njelu Kasaka (kama hivyo) mbunge wa Chunya/Lupa. Tembelea watu wake upate pa kuanzia.
Asante sana mkuuWatafute akina mwambalaswa na akina kasaka watu wa nyuna wapo wengi
Elezea sababu za kutafuta ukoo wa watu.
Usije ukawa unataka kuwaangushia jumba bovu.
Bibi mzaa babaJe huo ukoo ni wa Bibi mzaa baba au ni wa Babu upande wa baba yako?
Hata sasa mwanae njelu kasaka ndiyo mbunge wa kule.Paliwahi kuwepo na Njelu Kasaka (kama hivyo) mbunge wa Chunya/Lupa. Tembelea watu wake upate pa kuanzia.
Tafuta ukoo wa baba yako achana na huo wa bibi au tayari unaujua wa baba yako.Bibi mzaa baba
Naujua mkuu. I just want to know about the woman who carried my father in her wombTafuta ukoo wa baba yako achana na huo wa bibi au tayari unaujua wa baba yako.
Thanks mkuuBus la Mkombe luxury linalofanya safari zake toka Dar kwenda Africa ya Kusini kwa nauli ya Shilingi 350,000.
Waone hao yaweza kuwa ndio ndugu zako.