Ndugu wana JF habar zenu?,natumai mko powa!..nawatafuta wachezaji wa t/tennis almaarifu ping-pong players wote waliowahi kushiriki mashindano ya Ummiseta kuanzia 2010-2015 toka Tanzania bara.
Ahsanteni sana natumai mpo mnaniskia kuna mpango kazi kwa ajili yenu.kwa mawasiliano zaidi tuma taarifa zako kupitia
issaburian6pcm@gmail.com