Huu ujumbe ungempa samia, na umuongezee kuwa aache kuteka, atubu kwa damu alizomwaga na atambue kuwa hii nchi sio ya Familia yake.Yesu azaliwe mioyoni mwetu, siku ya Leo tuzaliwe upya,
•tuache matendo mabaya,
•tulipe Kodi,
•tufanye kazi tutafute Hela, tuache kukesha mitandaoni mida ya KAZI
•tuache uchonganishi na upotoshaji,
• tuache ku comment matusi, •tutubu dhambi zetu,
• tuheshimu viongozi wetu kuanzia ngazi ya mitaa hadi Taifa kwasababu hii ni ibada pia, na Mungu anatwambia mamlaka zote zinatoka kwa Mungu.
Tuache dhambi, dhambi inaua, tukatubu, tuzilinde roho zetu kuliko kitu chochote kwasababu kwenye roho ndiko zitokako chemichemi za uhai.
Moderators wa jamiiforum Happy Christmas 🎄 day
BAKWATA imewakataza kushirikiana na Wakristo shauri yako utatekwaYesu azaliwe mioyoni mwetu, siku ya Leo tuzaliwe upya,
•tuache matendo mabaya,
•tulipe Kodi,
•tufanye kazi tutafute Hela, tuache kukesha mitandaoni mida ya KAZI
•tuache uchonganishi na upotoshaji,
• tuache ku comment matusi, •tutubu dhambi zetu,
• tuheshimu viongozi wetu kuanzia ngazi ya mitaa hadi Taifa kwasababu hii ni ibada pia, na Mungu anatwambia mamlaka zote zinatoka kwa Mungu.
Tuache dhambi, dhambi inaua, tukatubu, tuzilinde roho zetu kuliko kitu chochote kwasababu kwenye roho ndiko zitokako chemichemi za uhai.
Moderators wa jamiiforum Happy Christmas 🎄 day
Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa. Waliotenda dhambi washakufa sisi tuendelee kutubu na kumrudia muumba wetuHuu ujumbe ungempa samia, na umuongezee kuwa aache kuteka, atubu kwa damu alizomwaga na atambue kuwa hii nchi sio ya Familia yake.
Salamu hizi ni kwa watawaliwa tu, sijaona salamu kwa viongozi tu. Au hutaki kuwasalimu kundilo, Wajuze hivYesu azaliwe mioyoni mwetu, siku ya Leo tuzaliwe upya,
•tuache matendo mabaya,
•tulipe Kodi,
•tufanye kazi tutafute Hela, tuache kukesha mitandaoni mida ya KAZI
•tuache uchonganishi na upotoshaji,
• tuache ku comment matusi, •tutubu dhambi zetu,
• tuheshimu viongozi wetu kuanzia ngazi ya mitaa hadi Taifa kwasababu hii ni ibada pia, na Mungu anatwambia mamlaka zote zinatoka kwa Mungu.
Tuache dhambi, dhambi inaua, tukatubu, tuzilinde roho zetu kuliko kitu chochote kwasababu kwenye roho ndiko zitokako chemichemi za uhai.
Moderators wa jamiiforum Happy Christmas 🎄 day
Haitokaa itokee uwe mtanzania mwenzangu unaefurahia maovu🤣🤣🤣Mkuu mm ni mtanzania mwenzako
Unapingana na BAKWATA?Sisi ni wamoja wanaosema hayo tuwapuuze umoja wetu ni tunu ya Taifa letu
Ila kuua sio dhambi?Tukae mbali na vurugu, kufanya vurugu ni dhambi, na Mungu anasema roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa
Rudi kwenu Kizimkazi wewe! Tanganyika ipo siku zote kwenye ramani ya dunia kama ilivyo kwa vile visiwa vyenu vya watu wasiokuwa na visogo.Duniani hakuna Tanganyika