Nawatakia Christmass Njema wote.
Tunapojiandaa kusherehekea, tuwakumbuke na wale walio wagonjwa na wale watakaoshindwa kusherehekea pamoja nasi, kwa kukosa au kushindwa kwa sababu zao au zilizonje ya uwezo wao.
Mungu awabariki woote, muwe na afya njema, upendo na furaha daima.