Natamani nisingezaliwa
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 112
- 265
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwatakia heri ya krismas na mwaka mpya. Mwaka huu ulikuwa mwaka niliojifunza mengi pia watu wa jf ni watu wema sana wengio wao wamenifundisha vitu vingii sana sina mengi ya kuelezea ila mungu awabariki na muwe na sikukuu njema pia tuombe uzima kuvuka mwaka