Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Msisahau.
Mwaka mpya2025, lipo jukumu muhimu na la maana sana la kutekeleza kwa maslahi mapana na ustawi wa chadema. Nalo ni kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na kuukataa katu katu ukoloni mambo leo anaojaribu kuuingiza nchini huyo kibaraka.
Mpaka sasa,
Shukran za kipekee ziwaendee wenyeviti wa kanda zote 10 za kiutawala za Chadema, kwa namna ambavyo wamesimama vizuri sana, kizalendo katika nafasi zao, na kuhakikisha wajumbe wote wa mkutano mkuu Taifa, katika kanda zao, wana uelekeo na lengo moja la kumshughulikia na kumpinga kibaraka wa mkoloni kisayasi.
Shukran za ziada,
ziwaendee wenyeviti wa mikoa, wenyeviti wa wilaya na kata zote nchini, kwa namna walivyosimama imara kwenye nafasi zao, na kuelekeza nguvu na jitihada zao zote kuhakikisha hakuna namna kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaweza kujipenyeza kwnye chama na kuivuruga chadema iliyo chini ya viongozi waandamizi wazalendo kitaifa.
Aidha,
nawatakia wadau wote wa JF Neema na Baraka tele za Christmass, na utulivu wenye amani katika kuupokea mwaka mpya2025.
Mungu Ibariki Tanazania