Nje ya Mada
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,399
- 490
Ni Mimi @Nje ya Mada... Nawatakia Heri ya mwaka mpya nyie wanawake ambao baadhi yenu siwajui heri ya mwaka mpya.
@Evelyn Salt
@Madame B
@Madame S
@miss chagga
@nifah
Nina uhakika 2016, nitawajua wapendwa na Zaidi ya kuwajua.
Ni Mimi daktari Wa Jeshi @Nje ya Mada.
Mhh Shem!Unataka utujuaje?
Au maungo yetu ya sehemu za siri?
Afu ujue avatar yako inanitisha na hiyo mawaniMhh Shem!
Shem so unajua jua Kali kipindi hiki!Afu ujue avatar yako inanitisha na hiyo mawani
Ohhhh kumbe....nimekupata.Shem so unajua jua Kali kipindi hiki!
Hehehe.. Mungu akipenda, heri ya mwaka mpya mama.Unataka utujuaje?
Au maungo yetu ya sehemu za siri?
Asante mkuu.....na kwako pia.Hehehe.. Mungu akipenda, heri ya mwaka mpya mama.
Hehehe.. Asanteeeh mamitoh, wangu pia una nguvu sana..Asante mkuu.....na kwako pia.
Nawe nakutakia mwaka mpya wenye nguvu na ulio imara kama uume wa punda