... na wewe pia Mkuu. Kama vile zama zile wayahudi walivyokombolewa kutoka kongwa la utumwa wa kimwili, nyakati zetu hizi Bwana Yesu ametukomboa kutoka katika kongwa la utumwa wa dhambi kwa kufufuka kwake. Tuifurahie Pasaka ya Mwanakondoo. Amen. TUKANA UONE