Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nasema yeye mwema .... Kwetu pazuri nimeshapakumbuka,ninayo hamu ya kuishi na mwokozi wangu kwa amani na furaha tena ya ajabu ....lalalaaaaaa
Nasema yeye mwema .... kwetu pazuri nimeshapakumbuka,ninayo hamu ya kuishi na mwokozi wangu kwa amani na furaha tena ya ajabu ....lalalaaaaaa
Chaurooo....
Husninyooo......! Yaani Chauro kanianzishia vizuri sana usiku wangu wa leo!
unajua imebidi nitafute kalenda mwenzio. Kesho unipitie twende church.
darling umeshawah kukaa badala ya kulalamika ukaanza kuhesabu baraka zako huwa unafanyaje?
hahahahaaaa.......una hatari wewe!!! Haya mwaya takupitia, twende misa ya ngapi vile!
baraka zangu ni nyingi mpenzi. Hakika mungu ananipenda. Namshukuru.
Kweli kabisa mpenzi.
heeeeeeeeeeeeeee!
Ndiyo maanake
sio maana yake. Asiyejua maana usimwambie.
twende misa ya sa nane tukishashiba ugali maharage.