Nawatakia jumapili njema wapenzi wa MMU

nasema yeye mwema .... Kwetu pazuri nimeshapakumbuka,ninayo hamu ya kuishi na mwokozi wangu kwa amani na furaha tena ya ajabu ....lalalaaaaaa

thread nyingine bhana ......bora m2 upige kimya 2.
 
Nasema yeye mwema .... kwetu pazuri nimeshapakumbuka,ninayo hamu ya kuishi na mwokozi wangu kwa amani na furaha tena ya ajabu ....lalalaaaaaa

Ninayo hamu uuh, kurudi nyumbani iiih, nyumbani kwetu ambapo hatutatengana! Hapo nyumbani kwetu hakuna makaburi, wala hakuna vyandarua maana hakuna malaria! Kwetu ni pazuri, ni pazuri nakuapia, najua nawe ndugu yangu unayo hamu kufika huko! Ubarikiwe sana mpendwa!
 
darling umeshawah kukaa badala ya kulalamika ukaanza kuhesabu baraka zako huwa unafanyaje?
unajua imebidi nitafute kalenda mwenzio. Kesho unipitie twende church.
 
Nawe pia,,,,,,,,kesho waenda church??
 
darling umeshawah kukaa badala ya kulalamika ukaanza kuhesabu baraka zako huwa unafanyaje?

baraka zangu ni nyingi mpenzi. Hakika mungu ananipenda. Namshukuru.
 



Special kwa mwanzisha mada na wana JF wote.....ONE LUV!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…